{"id":1059609,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1059609/?format=json","text_counter":55,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Bw. Spika, tutakapobadilisha ratiba hii ya vikao, nina hakika kwamba tutachukua fursa hiyo, Jumatano na Alhamisi kuona ya kwamba Kamati zinazohusika zinafanya kazi kama ilivyokuwa imepangwa awali."}