{"id":1062077,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1062077/?format=json","text_counter":589,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Kwamboka","speaker_title":"","speaker":{"id":9246,"legal_name":"Beatrice Kwamboka Makori","slug":"beatrice-kwamboka-makori"},"content":"Asante Bi. Spika wa Muda. Ningependa kuunga mkono huu mjadala wa kusitishwa kwa Bunge mpaka mwezi ujao. Kusema kweli, kuna janga kubwa la COVID-19 na ni wakati mwafaka kwa Bunge kuenda likizo kidogo. Wakati ambapo tutakuwa kwenye likizo ni wakati wa kamati, sana sana Kamati ya Afya ambayo mimi ninashiriki hapo, tuweze kuangalia hizi"}