{"id":1065490,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1065490/?format=json","text_counter":119,"type":"speech","speaker_name":"Malindi, ODM","speaker_title":"Hon. (Ms.) Aisha Jumwa","speaker":{"id":691,"legal_name":"Aisha Jumwa Katana","slug":"aisha-jumwa-katana"},"content":"Kwa hivyo, mimi ninataka kusema kuwa jambo hili litawarudia wananchi. Ninataka kuongee na taifa kwamba hakuna atakayeweza kuutoa huu mzigo kwa wananchi isipokuwa wao wenyeye."}