{"id":1066178,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1066178/?format=json","text_counter":144,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Wario","speaker_title":"","speaker":{"id":13224,"legal_name":"Golich Juma Wario","slug":"golich-juma-wario"},"content":"Siku ya leo ni nzuri kwa sababu hakuna makelele. Sisi tunataka kuweka mambo yetu mbele ili yaonekana vizuri. Seneti inafaa kufanya ukaguzi na uchunguzi lakini haikuwezeshwa kufanya kazi inavyotakikana kwa sababu hakuna fedha---"}