{"id":1066224,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1066224/?format=json","text_counter":190,"type":"speech","speaker_name":"The Temporary Speaker","speaker_title":"","speaker":null,"content":"(Sen. (Dr.) Mwaura): Asante pia kwa kuwa mkalimani mzuri wa mahubiri. Maoni yangu ya kibinafsi ni kwamba haufai kufanya marekebisho, lakini bado kuna majadiliano yanayoendelea na Spika hususan atatoa uamuzi huo. Sen. Kihika."}