{"id":1066227,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1066227/?format=json","text_counter":193,"type":"speech","speaker_name":"The Temporary Speaker (","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Sen. (Dr.) Mwaura): Samahani, Sen. Kihika. Hiyo lugha ambayo umetumia haikubaliki katika Bunge la Seneti. Tunakuomba utumie lugha ambayo inakubalika."}