{"id":1066246,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1066246/?format=json","text_counter":212,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Kinyua","speaker_title":"","speaker":{"id":13202,"legal_name":"John Kinyua Nderitu","slug":"john-kinyua-nderitu-2"},"content":"wakati watu ni wagonjwa kwa sababu watu hawalipiwi wanapopata ugonjwa huo. Hatufai kuwa tunaongelea marekebisho ya Katiba bali jinsi ya kusaidia watu wetu ambao wamekosa ajira kutokana na ugonjwa huo."}