{"id":1066935,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1066935/?format=json","text_counter":31,"type":"speech","speaker_name":"Mhe. Samia Suluhu Hassan","speaker_title":"Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania","speaker":null,"content":" Mhe. Justin Muturi, Spika wa Bunge la Taifa; Mhe. Kenneth Lusaka, Spika wa Bunge la Seneti; Waheshimiwa wa Bunge la Taifa na Bunge la Seneti; viongozi mbalimbali wa Serikali wa Tanzania na Kenya mlio pamoja nasi; wageni waalikwa; mabibi na mabwana, habari za mchana!"}