{"id":1066964,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1066964/?format=json","text_counter":60,"type":"speech","speaker_name":"Mhe. Samia Suluhu Hassan","speaker_title":"Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania","speaker":null,"content":"Ndugu zangu Maseneta na Wabunge wa Bunge la Kitaifa, mtakubaliana na mimi kuwa, kwa ukubwa wa miradi hii, gharama na muundo wake unalazimisha nchi zetu"}