{"id":1067115,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1067115/?format=json","text_counter":109,"type":"speech","speaker_name":"Samburu CWR, KANU","speaker_title":"Hon. (Ms.) Maison Leshoomo","speaker":{"id":379,"legal_name":"Maison Leshoomo","slug":"maison-leshoomo"},"content":" On a point of order. Naibu Spika wa Muda, hakika, kuna majina na orodha pale. Ukiangalia, utakuta hata yule amekuja nyuma yako ameshapata nafasi ya kuuchangia huu Mswada. Niko na uhakika kwamba nilikuwa nyuma ya Mhe. Munyaka."}