{"id":1068941,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1068941/?format=json","text_counter":159,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Mwaruma","speaker_title":"","speaker":{"id":13223,"legal_name":"Johnes Mwashushe Mwaruma","slug":"johnes-mwashushe-mwaruma"},"content":"Mwananchi wangu wa Taita-Taveta alitoa mawazo mengi sana kuchangia kwa Mswada huu lakini mengi hayajazingatiwa ama kuangaziwa. Jambo la kwanza ni kwamba asilimia 62 ya Gatuzi la Taita-Taveta iko chini ya mbuga za wanyama. Katika mapendekezo ya Mtaita na Mtaveta, tulisema kwamba ile mbuga ya wanyama iwe gamereserve badala ya kuwa national park ili mwananchi wa Taita-Taveta afaidike moja kwa"}