{"id":1068943,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1068943/?format=json","text_counter":161,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Mwaruma","speaker_title":"","speaker":{"id":13223,"legal_name":"Johnes Mwashushe Mwaruma","slug":"johnes-mwashushe-mwaruma"},"content":"moja kutokana na rasilmali ya mbuga za wanyama. Hilo halijawekwa katika Mswada huu. Kwa hivyo, mwananchi wa Taita-Taveta ninayemwakilisha hana furaha."}