{"id":1068953,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1068953/?format=json","text_counter":171,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Mwaruma","speaker_title":"","speaker":{"id":13223,"legal_name":"Johnes Mwashushe Mwaruma","slug":"johnes-mwashushe-mwaruma"},"content":"zitupiliwe mbali bila wao kutambua kwamba mfumo wa ugatuzi na pesa za CDF zimeleta maendeleo mengi katika serikali za ugatuzi. Sisi tunashangilia pesa CDF kutambulika kikatiba."}