{"id":1068983,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1068983/?format=json","text_counter":201,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Zawadi","speaker_title":"","speaker":{"id":13176,"legal_name":"Christine Zawadi Gona","slug":"christine-zawadi-gona"},"content":"Naamini kwamba iwapo pesa itaongezeka katika magatuzi, kuna maendeleo mengi ambayo yatapatikana ambayo hayakuwa yanapatikana kwa sababu ya uhaba wa pesa. Nakubaliana kwamba iwapo mjumbe wa Bunge la Kaunti atakuwa anapata zile"}