{"id":1069772,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1069772/?format=json","text_counter":513,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"","speaker":{"id":679,"legal_name":"Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo","slug":"stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"},"content":"Nataka nikome hapo na tumsifu sana Bi. Spika wa Muda kwa hii Hoja. Naunga mkono ama ku- second . Siwezi kujua kama ‘ second’ ni kuunga mkono ama ni kufanya nini. Pia mimi nimetumia jina la Kizungu. Asante Sana, Bi Spika wa Muda. Nina second."}