{"id":1069782,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1069782/?format=json","text_counter":523,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Mutula Kilonzo Jnr.","speaker_title":"","speaker":{"id":13156,"legal_name":"Mutula Kilonzo Jnr","slug":"mutula-kilonzo-jnr"},"content":"Bi. Spika wa Muda, zamani Watanzania walikuwa wanaambiwa waje Kenya ile waone dunia. Sasa ni wakati wetu kwenda Tanzania ili tuangalie nchi ambayo inaendelea kudumisha uchumi wake kwa njia ambayo inafaa."}