{"id":1071118,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1071118/?format=json","text_counter":62,"type":"speech","speaker_name":"Kipipiri, JP","speaker_title":"Hon. Amos Kimunya","speaker":{"id":174,"legal_name":"Amos Muhinga Kimunya","slug":"amos-kimunya"},"content":" Ningependelea sana na naomba Wajumbe tuweze kujionyesha. Hii ni kwa sababu ya changamoto tuliyonayo ndiyo Mhe. Rais pia aone Wakenya wamechangamka na wanaweza kujadili kwa Kiswahili kama alivyotuhutubia kwa Kiswahili."}