{"id":1071119,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1071119/?format=json","text_counter":63,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Deputy Speaker","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Sababu ya kukupatia hiyo fursa kama Kiongozi wa Chama cha Walio Wengi ni kwa sababu nimeona ukisoma hiyo taarifa. Kwa hivyo, nilikuwa nataka kuona kama unaweza kuendelea bila kusoma na nimeona umefaulu."}