{"id":1071120,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1071120/?format=json","text_counter":64,"type":"speech","speaker_name":"Kipipiri, JP","speaker_title":"Hon. Amos Kimunya","speaker":{"id":174,"legal_name":"Amos Muhinga Kimunya","slug":"amos-kimunya"},"content":" Mhe. Naibu Spika, pengine huna habari kwamba nilisomea shule ya upili iliyoko huko Mombasa. Kwa hivyo, naelewa Kiswahili. Tukifika jioni watu wajionyeshe vile wanaelewa."}