{"id":1071131,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1071131/?format=json","text_counter":75,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Deputy Speaker","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Utapata hiyo nafasi ya kuchangia na kuunga mkono, lakini kwa sasa tu ni Hoja ameweka mbele ya Bunge. Tutakupatia nafasi ikifika wakati wa kuchangia."}