{"id":1071778,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1071778/?format=json","text_counter":26,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Speaker","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Lakini umezungumza zaidi. Mambo ya ndovu ambao wanakunywa maji, tumbiri pia, mambo mazito haya. Member for Endebess. Nawe kwa uchache mno."}