{"id":1072186,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1072186/?format=json","text_counter":36,"type":"speech","speaker_name":"Taveta CWR, JP","speaker_title":"Mhe. (Dkt) Naomi Shaban","speaker":null,"content":" Asante sana, Kiongozi wa Chama cha Walio Wengi hapa Bungeni. Mhe. Naibu Spika wa Muda, ni heshima kubwa sana kuwa Bunge hili liliweza kumpokea mgeni ambaye alitoka nchi jirani."}