{"id":1072267,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1072267/?format=json","text_counter":117,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"(Ms.) Jessica Mbalu): Kanuni za Kudumu za Bunge la Taifa hazitupatii nafasi ya kuongea Kiingereza na Kiswahili kwa wakati moja. Ukianza kuongea kwa Kiswahili, maliza kwa Kiswahili."}