{"id":107245,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/107245/?format=json","text_counter":241,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"nitakuwa nje ya nchi kwa kazi ya Bunge. Swala hili ni dharura sana, kwa hivyo ninaomba kama ingewezeka Waziri alete taarifa Alhamisi wiki hii."}