{"id":107250,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/107250/?format=json","text_counter":246,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Deputy Speaker","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Order! Bw. Ojode, kuambatana na taharuki iliyoko; na taharuki maanake ni kuna hali ya wasiwasi. Kwa vile, usalama na mambo mengine yanaweza kuzoroteka. Bw. Mungâaro anaona ni afadhali uilete hiyo taarifa yako mwisho wa wiki hii. Unaweza kuileta Alhamisi ya wiki hii?"}