{"id":1073030,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1073030/?format=json","text_counter":204,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"","speaker":{"id":679,"legal_name":"Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo","slug":"stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"},"content":"Ni hayo peke yake nilikuwa nataka kusema. Lakini la muhimu zaidi ni kwamba nataka nimpatie kongole sana Sen. Cheruiyot kwa ujasiri wake wa Lugha ya Kiswahili. Ameongea Kiswahili mufti ambacho hata mimi nimekipenda."}