{"id":1073044,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1073044/?format=json","text_counter":218,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Pareno","speaker_title":"The Temporary Speaker","speaker":{"id":13180,"legal_name":"Judith Ramaita Pareno","slug":"judith-ramaita-pareno"},"content":" Lakini umesahau maombi. Aliomba kwamba katika siku za usoni anaomba kwamba atakuwa rais wa taifa hili. Kwa hivyo, umuombee na umuunge mkono."}