{"id":1073054,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1073054/?format=json","text_counter":228,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Pareno","speaker_title":"The Temporary Speaker","speaker":{"id":13180,"legal_name":"Judith Ramaita Pareno","slug":"judith-ramaita-pareno"},"content":" Sen. (Dr.) Musuruve, labda ungependa kufafanua kwa njia ambayo inaonyesha kwamba Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameteuliwa kwa kuwa na ujasiri na kuwa anaweza kufanya kazi hiyo."}