{"id":1074331,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1074331/?format=json","text_counter":292,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Poghisio","speaker_title":"The Senate Majority Leader","speaker":{"id":202,"legal_name":"Samuel Losuron Poghisio","slug":"samuel-poghisio"},"content":" Bi Naibu Spika naomba ruhusa kujibu Hoja. Hii ni Hotuba ambayo ilitolewa na Mhe. Suluhu Hassan. Katika Hotuba hiyo, alifafanua sera zake na kusema mengi kuhusu safari yake hapa Kenya. Namshukuru"}