{"id":107565,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/107565/?format=json","text_counter":164,"type":"speech","speaker_name":"Ms. Leshomo","speaker_title":"","speaker":{"id":379,"legal_name":"Maison Leshoomo","slug":"maison-leshoomo"},"content":"Asante sana Bw. Spika. Hata mini ninaunga mkono hilo pendekezo. Msichana akiolewa akiwa na miaka 11 au 12, au mvulana pia akioa mama mzee--- Ingekuwa muhimu kuwa na sheria ili tusaidie jamii zingine kama jamii ya wafugaji, ambao hawana hii habari. Kwa hivyo, kunatakikana kuwe na sheria ya kukataza jambo hili."}