{"id":1075918,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1075918/?format=json","text_counter":52,"type":"speech","speaker_name":"Mhe. Spika","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Kamati husika imepewa muda ule wa kawaida ambao ni siku 60 kuangalia mambo ambayo yametajwa katika Ardhilhali hiyo."}