{"id":1083972,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1083972/?format=json","text_counter":129,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Asante, Bi. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii kuchangia Taarifa ya Sen. Khaniri. Kwanza ninampongeza Sen. Khaniri kwa kuzungumzia hili swala nyeti katika nchi yetu ya Kenya kwa jumla."}