{"id":1087303,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1087303/?format=json","text_counter":80,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"","speaker":{"id":679,"legal_name":"Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo","slug":"stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"},"content":"Asante, Bw. Spika. Kwanza, ninamshukuru Sen. Kasanga kwa Taarifa yake. Katika nchi nzima ya Kenya, tunajua hakuna familia ambayo imekosa mtu mwenye akili punguani."}