{"id":1087315,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1087315/?format=json","text_counter":92,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Lusaka","speaker_title":"The Speaker","speaker":null,"content":" Ningependa kukomesha mjadala huo kwa sababu inaonekana imeanza kuwa ubingo wa lugha na kuonyesha nani anafahamu lugha zaidi. Lakini tumeelewa nini kinazungumziwa."}