{"id":1087383,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1087383/?format=json","text_counter":160,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"","speaker":{"id":679,"legal_name":"Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo","slug":"stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"},"content":"Hao wahalifu wakishikwa wanapelekwa jela na kurundikwa. Hawaendi kotini. Hii jambo ambalo lazima tulitafakari. Ni muhimu hatua ichukuliwe mara moja kuona ya kwamba Koti ya Kericho imefunguliwa. Asante."}