{"id":1087393,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1087393/?format=json","text_counter":170,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Kauli hiyo ya Jaji Mkuu haifai kunyamaziwa. Ni lazima Bunge itoe taarifa ya kumjibu ili kuhakikisha kwamba hazuii mafisa wa mahakama kuja Bungeni kujibu masuala wanayotakiwa."}