{"id":108862,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/108862/?format=json","text_counter":960,"type":"speech","speaker_name":"Dr. Shaban","speaker_title":"The Minister of State for Special Programmes","speaker":{"id":139,"legal_name":"Naomi Namsi Shaban","slug":"naomi-shaban"},"content":" Bw. Spika, sarakasi ni kuwa, kila saa na wakati, watu ni kutoka; watu hawataki kufanya shughuli yoyote ya Bunge hili. Tumetupilia mbali shughuli iliyotuleta Bungeni kusaidia Wakenya kuwa na maisha bora kuliko wakati ule tukija hapa."}