{"id":1088758,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1088758/?format=json","text_counter":316,"type":"speech","speaker_name":"Taveta, JP","speaker_title":"Mhe. (Dkt.) Naomi Shaban","speaker":{"id":139,"legal_name":"Naomi Namsi Shaban","slug":"naomi-shaban"},"content":" Mhe, Naibu Mwenye Kiti wa Muda, nilitaka tu kuunga mkono. Kuna umuhimu wa washika dau pamoja na umma kuhusishwa kwenye shughuli hizi ili wawe wanaelewa kinachoendelea wakati sheria zinapotengenezwa. Naam."}