{"id":1089841,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1089841/?format=json","text_counter":54,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"","speaker":{"id":679,"legal_name":"Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo","slug":"stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"},"content":"Bi. Naibu Spika, kwa hisani yako, nipe dakika tatu nimalize. Mimi ni mmoja wa wale Maseneta ambao walikuwa jaji katika hili koti ambalo lilikuwa lina jihusisha na hili jambo la wafanyikazi."}