{"id":1091204,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1091204/?format=json","text_counter":152,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Kwa hivyo, Mswada huu utaweka mfumo maalum ambao utasaidia kutoza asilimia fulani ya mapato ili waliadhirika na raslimali kama zile wasaidike. Nimefurahi pia kwamba katika Mswada huu, CRA imepewe jukumu la kufanya"}