{"id":1096621,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1096621/?format=json","text_counter":134,"type":"speech","speaker_name":"Mwea, JP","speaker_title":"Hon. Josphat Kabinga","speaker":{"id":13441,"legal_name":"Josphat Kabinga Wachira","slug":"josphat-kabinga-wachira-2"},"content":"ya kwamba hakuna haja ya kwenda ama wao kuja. Kwanza tungetaka kukutana na Waziri na Mheshimiwa ili tuone kama tunaweza kutatua hilo tatizo tukiwa hapa Nairobi. Asante."}