{"id":1097826,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1097826/?format=json","text_counter":130,"type":"speech","speaker_name":"Likoni, ODM","speaker_title":"Hon. (Ms.) Mishi Mboko","speaker":{"id":874,"legal_name":"Mishi Juma Khamisi","slug":"mishi-juma-khamisi"},"content":"zake na hatujawahi kusikia dosari yeyote ama ufisadi wa aina yeyote katika kazi ambazo amezifanya. Mhe. Spika, ningependa kusema kuwa tunatakiwa kuweka sura ya Kenya kila tunapofanya uteuzi."}