{"id":1098141,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1098141/?format=json","text_counter":298,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Tumeona pia ya kwamba hata wale ambao ni watu wanaoishi na ulemavu wameweza kupewa nafasi wafundishwe wakiwa na special needs . Najiunga pia na Maseneta wenzangu kusema kwamba ule mfumo wa kuwa na"}