{"id":1098866,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1098866/?format=json","text_counter":308,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Kwamboka","speaker_title":"","speaker":{"id":9246,"legal_name":"Beatrice Kwamboka Makori","slug":"beatrice-kwamboka-makori"},"content":"Asante, Bi. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii kuchangia Taarifa hii ambayo imeletwa na Seneta wa Kaunti ya Laikipia. Kwanza, ninamshukuru kwa kuleta Taarifa hii kwenye Seneti."}