{"id":1100314,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1100314/?format=json","text_counter":251,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Wario","speaker_title":"","speaker":{"id":13224,"legal_name":"Golich Juma Wario","slug":"golich-juma-wario"},"content":"Asante Bi. Naibu Spika, kwa kunipatia nafasi hii. Kwa kweli, Taarifa hii imetoka wakati mwafaka kabisa. Wakati huu ni wakati wa kiangazi kikuu ambapo wafugaji wanapata shida na mifugo yao."}