{"id":110184,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/110184/?format=json","text_counter":518,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Mwadeghu","speaker_title":"","speaker":{"id":98,"legal_name":"Thomas Ludindi Mwadeghu","slug":"thomas-mwadeghu"},"content":"Sizungumzi juu ya Mahakama ya Kadhi. Nina uhuru wangu! Bw. Naibu Spika, ningependa kuzungumza juu ya mahakama ya rufaa na ile ya Supreme Court."}