{"id":1102187,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1102187/?format=json","text_counter":71,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"","speaker":{"id":679,"legal_name":"Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo","slug":"stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"},"content":"kuiweka familia yenyewe sawa sawa, ni jambo la kusikitisha. Ni jambo la kuuliza na sio jambo nzuri kutokea katika familia. Sisi kama Maseneta, tulimpenda Sen. Prengei lakini Mwenyezi Mungu alimpenda zaidi."}