{"id":1102319,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1102319/?format=json","text_counter":203,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"","speaker":{"id":679,"legal_name":"Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo","slug":"stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"},"content":"Kama ni uchunguzi, ufanywe zaidi ili tuweze kulazimisha Serikali kufanya kitu fulani. Kunaweza kuwa na askari au watu hawa wachukuliwe wawekwe mahali wanaweza kujikimu kimaisha Asante."}