{"id":1102386,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1102386/?format=json","text_counter":270,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"","speaker":{"id":679,"legal_name":"Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo","slug":"stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"},"content":"Sen. Murkomen ni wakili na anajua kwamba ikiwa jambo liko katika mahakama, si vizuri kulizungumzia kwa kina. Yale yote anayosema yako kwenye Supreme Court ambayo itasikia na kutoa uamuzi. Najua kuwa Sen. (Prof.) Kindiki pia atahusika."}