{"id":1103629,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1103629/?format=json","text_counter":95,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Malalah","speaker_title":"","speaker":{"id":13195,"legal_name":"Cleophas Wakhungu Malalah","slug":"cleophas-wakhungu-malalah-2"},"content":"Asante, Bi. Spika wa Muda. Kwanza ningependa kutuma risala za rambirambi kwa familia ya marehemu Macharia kwa kumpoteza mmoja wao. Jambo la pili ni ningependa kumshukuru Sen. Omanga kwa kuleta swala hili katika Bunge."}